Tunapendezana

de Yammi

Acha nikubembeleze kwa ushahiri na utenzi
Ahsante Mwalimu, Mwalimu wa mapenzi
Sogea niku non'goneze neno zuri la mapenzi
Kukuacha ni sumu labda apange Mwenyezi

Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa
Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa
Mimi oo oo
Baby oo oo

Tume pendezaa tuna pendezana
Aah! Tume pendezana
Tuna pendezaa tume pendezanaa
Aah! Tume pendezana

Hata kama wakisema una machafu mengi
Siyaoni nimekwama shimo la mapenzi
Mi kwako nisha tulizana ku n'goka siwezi
Mimi oo oo
Oo oo

Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa
Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa
Mimi oo oo
Baby oo oo

Tume pendezaa tuna pendezana
Aah! Tume pendezana
Tuna pendezaa tume pendezanaa
Aah! Tume pendezana

Más canciones de Yammi