Love Crazy
de Yammi
Yammi yammi
Nilikuona nikiona kwa baba na mama
Sio kwa umri huu
Nilikuwa nikiyatazama
Kwenye TV tu
Kama Alkaida (kaida)
Mahaba so kawaida
Nna kila sababu
Nitangaze mumwone
Moyo kauiba (kaiba)
Anapanga yeye ratiba
Bure mnajipa tabu
Kununa nuna msonone
Jahazi pe
Jahazi pepea
Wape salamu vyote visiwa
Nimetah tah, nimetwaliwa
Na mambo matamu, asali na maziwa
Na nimetekwa, kutoka siwezi toka
Aah, nimeshikika kama pesa mapesa
Na nimetekwa, kutoka siwezi toka
Aah, nimeshikika kama pesa mapesa
Eti nimwache, nimuachie nani (arenarena)
Simwachi abadani (arenarena)
Eti nimwache, nimuachie jirani (arenarena)
Simwachi abadani (arenarena)
Na hili joto, nkufute majosha ooh dia
Usiishie kula kwa macho, ndani ingia
Uguse kikupendezacho my dia
Uniwaze ulalapo ukisinzia
Jahazi pe
Jahazi pepea
Wape salamu vyote visiwa
Nimetah tah, nimetwaliwa
Na mambo matamu, asali na maziwa
Na nimetekwa, kutoka siwezi toka
Aah, nimeshikika kama pesa mapesa
Na nimetekwa, kutoka siwezi toka
Aah, nimeshikika kama pesa mapesa
Eti nimwache, nimuachie nani (arenarena)
Simwachi abadani (arenarena)
Eti nimwache, nimuachie jirani (arenarena)
Simwachi abadani (arenarena)
Más canciones de Yammi
-
Hanipendi
Three Hearts
-
Kukupenda
Kukupenda
-
Lonely (feat. Nandy)
Lonely (feat. Nandy)
-
My Cue
ZiiBeats, Vol. 2
-
Namchukia
Three Hearts
-
Nitadumu Nae
Nitadumu Nae
-
Tiririka
Tiririka
-
Tiririka - Acoustic
Tiririka (Acoustic)
-
Tunapendezana
Three Hearts
-
Upepo
Upepo