Kukupenda

de Yammi

Mmh mmh mhh
Haah haah haah
Haah mafeeling records aah

Mi nimfugaji wa kuku wa penzi baby naomba kukugea
Naomba pokea naomba pokea
Honey ni kuku gani unataka nikupe kukupenda amaa
Kuku jali kuku heshimu kuku zalia
Njoo nikuonyeshe kuku kea kukulea
Kukuelewa kama mtoto kuku elewa kwa mengi hata usio yanena

Mana aah
Kimwili naishi ila we ndo roho yangu
Ukiondoka upande wangu nimeishaa
Hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu
Usipo pokea simu yangu nafoka aah

Kama kama simenti
Ntagandana na wewe ntagandana nawewe
Ni kama kama siafu
Ntafatana na wewe safari ya milele
Nakupenda wee

Ukiniita sita tembea kuja nitakimbiaa
Ukinilaza kwa kifua chako ntasinzia
Najua hupendi kuku poa
Mi pia sitaki kukuboa
Na siwezi kukuondoa moyoni
Ntajitia doa

Mana aah
Kimwili naishi ila we ndo roho yangu
Ukiondoka upande wangu nimeishaa
Hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu
Usipo pokea simu yangu nafoka aah

Kama kama simenti
Ntagandana na wewe ntagandana nawewe
Ni kama kama siafu
Ntafatana na wewe safari ya milele
Nakupenda wee

Mafeelling records
Ni kama kama siafu
Ntafata na wewe safari ya milele
Nakupenda wee

Ka mix Laizer

Más canciones de Yammi