My My
de V-Beatz
Vee Money
Legendury Beatz
Figisu ndiyo kitu mi sinaga
Nje mpaka ndani na mkonga na swagger
Wananiuliza kitu gani nampaga
Real love ndiyo nampaga mie
Oh Lord simuachi muachi muachi
Wanga hawana nafasi fasi fasi
Wameanza kukachi kachi kachi
Nipo naye fasi ya duasi duasi duasi
Maisha zawadi fura
Maisha zawadi kwa Jah
Kikubwa kumudu kara
Visa visasi balaa
Maisha zawadi furahaaa
Maisha zawadi kwa Jaaah
Kikubwa Kimudu karaha
Visa visasi balaa
Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ
Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ
Cos together we be
Eh, eh, eh, eh, eh, eh
Champion
Baby you and me
Eh, eh, eh, eh, eh, eh
Kama kama nisinge kuwa macho
Singeweza linda kile nilicho nacho
Drama, drama
Nishatemana nazo, baby
Hatuna tena mazo
Kama kama nisinge kuwa macho
Nisingeweza linda kile nilicho nacho
Drama, drama
Nishatemana nazo, baby
Hatuna tena mazo
Oh Lord simuachi muachi muachi
Wanga hawana nafasi fasi fasi
Wameanza kukachi kachi kachi
Nipo naye fasi ya duasi duasi duasi
Maisha zawadi fura
Maisha zawadi kwa Jah
Kikubwa kumudu kara
Visa visasi balaa
Maisha zawadi furahaaa
Maisha zawadi kwa Jaaah
Kikubwa Kimudu karaha
Visa visasi balaa
Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ
Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ
Cos together we be
Eh, eh, eh, eh, eh, eh
Champion
Baby you and me
Eh, eh, eh, eh, eh, eh
Más canciones de V-Beatz
-
Pussy Beat
Cap'tain 2010
-
Plus de basses - Hopital Mix
Furious Bass 2010
-
Plus de basses - The Hooliganz & Jacky Core Remix
Plus de basses
-
Furious Bass 2010
Furious Bass 2010
-
Eternal Desires
Furious Bass 2010
-
Explode
Furious Bass 2010
-
Alarma
Furious Bass 2010
-
This Is My Hard Generation
Furious Bass 2010
-
Nation of Tek
Furious Bass 2010
-
Samouraï
Furious Bass 2010
-
Distortionz
Furious Bass 2010
-
Faces
Furious Bass 2010
-
Melody of Dope
Furious Bass 2010
-
Overkill
Furious Bass 2010
-
Still Life
Furious Bass 2010
-
Close Your Mind
Furious Bass 2010
-
Melody of World - The Hooliganz Rmx
Furious Bass 2010
-
End of World
Furious Bass 2010
-
Melting
Furious Bass 2010
-
To Da Max
Furious Bass 2010