Kamigaz

de Tony Andrews

Anayekula mwili wako, na anywaye danu yako
Anaishi ndani yako, ye hatakufa milele

Yezu wangu nakuomba, nishibishe na mwilio
Nayo damu yako ninywe, japo sistahili mimi

Ndani yangu mwokozi yumo, kwa mwili na damu yake
Ni rafiki yangu kweli, name sitamwacha kamwe

Alikuja kutuokoa, tuliokuwa dhambini
Kwa kifo chake msalabani, naye katupa uzima

Yezu wangu unibariki, nifundishe njia zako
Nipe moyo wa shukrani, nitembee nawe leo

Más canciones de Tony Andrews