Podpolianska
de Temperament Cimbal Orchestra
Nilikwelezeyaka oh mama
Fatou, wangu mama
Nilikwelezeyaka oh mama
Fatou, wangu mama
Mapenzie ya kwetu eeh
Haita tawi hata mama
Mapenzie ya kwetu eeh
Haita tawi hata mama
Tabia yako na yangu
Haisikilizani
Tabia yako na yangu
Haisikilizani
Unaona
Unaona sasa we mama
Unaona
Unaona sasa we mama
Unapenda kuvaa
Mimi sina namna Fatou we
Unapenda kula vizuri
Mimi sina pesa oh Fatou we
Nipe mali
Sizoe
Niuwe mutu
Nipate dawa ya feza
Niuwe mutu
Watanifunga
Niuwe mutu
Thambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
(Wende lote Zena wangu)
Niibe mali
Watanifunga
Niuwe mutu
Thambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
(Oh, zena wangu)
(Wende lote Zena)
Niibe mali
Watanifunga
Niuwe mutu
Thambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Niibe mali
Watanifunga
Niuwe mutu
Thambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Niibe mali ukitaka watanifunga mama
Niue mutu
Thambi kwa Mungu Baba eh
Kama hunipendi bibi yangu
Uende lote mama
Kama hunipendi
Uende lote mama
Niibe mali ukitaka watanifunga mama
Niue mutu
Thambi kwa Mungu eh
Kama hunipendi bibi yangu
Uende kwenu mama
Kama hunipendi
Uniwache yangu mama eeh
Kama hunipendi
Cherie Mama wende lote
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh Zena wangu
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Zena wangu
Mtoto wa kwetu
Más canciones de Temperament Cimbal Orchestra
-
V ocovskom poli
FS Ocovan & Temperament Cimbal Orchestra: V Ocovej doma
-
Veje vietor po Ocovej, Boli sme my kamarati verni
Jaroslav Harazin & Temperament Cimbal Orchestra
-
Starala sa moja mat
Doma
-
Ked som isiou hore dedinou
Jaroslav Harazin & Temperament Cimbal Orchestra
-
Ameriku som zvandroval
FS Ocovan & Temperament Cimbal Orchestra: V Ocovej doma
-
Zlapani
FS Ocovan & Temperament Cimbal Orchestra: Zabudnuti
-
Moja mila
Doma
-
Rozkazovacky
Ján Chabada Chovan & Temperament Cimbal Orchestra
-
Ked som isiel od ma milej, Bude jarmok vo Zvolene
Ján Chabada Chovan & Temperament Cimbal Orchestra
-
V nasom dvore vyriastla jedlicka, V zahrade som bielu ruzu trhala
Jaroslav Harazin & Temperament Cimbal Orchestra
-
Na svadbe
FS Ocovan & Temperament Cimbal Orchestra: Zabudnuti
-
Ked som isiou na vojnu
Jaroslav Harazin & Temperament Cimbal Orchestra
-
Ked som zacau
Doma
-
Ved sa v nasom dvore, Ty Anicka
Povedzte mojej materi
-
Ej hora horicka, Na Ocovskych lukach
Ján Chabada Chovan & Temperament Cimbal Orchestra
-
Horicka jedlova
Povedzte mojej materi
-
Mal som prsten s modrym ockom
Jaroslav Harazin & Temperament Cimbal Orchestra
-
V tej ocovskej krcmicky
FS Ocovan & Temperament Cimbal Orchestra: V Ocovej doma
-
V Ocovej doma
FS Ocovan & Temperament Cimbal Orchestra: V Ocovej doma
-
Na Mitra
FS Ocovan & Temperament Cimbal Orchestra: V Ocovej doma