Dem U Jiyan

de Stero Beatz

Vee Money
Legendury Beatz

Figisu ndiyo kitu mi sinaga
Nje mpaka ndani na mkonga na swagger
Wananiuliza kitu gani nampaga
Real love ndiyo nampaga mie

Oh Lord simuachi muachi muachi
Wanga hawana nafasi fasi fasi
Wameanza kukachi kachi kachi
Nipo naye fasi ya duasi duasi duasi

Maisha zawadi fura
Maisha zawadi kwa Jah
Kikubwa kumudu kara
Visa visasi balaa

Maisha zawadi furahaaa
Maisha zawadi kwa Jaaah
Kikubwa Kimudu karaha
Visa visasi balaa

Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ
Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ

Cos together we be
Eh, eh, eh, eh, eh, eh
Champion
Baby you and me
Eh, eh, eh, eh, eh, eh

Kama kama nisinge kuwa macho
Singeweza linda kile nilicho nacho
Drama, drama
Nishatemana nazo, baby
Hatuna tena mazo

Kama kama nisinge kuwa macho
Nisingeweza linda kile nilicho nacho
Drama, drama
Nishatemana nazo, baby
Hatuna tena mazo

Oh Lord simuachi muachi muachi
Wanga hawana nafasi fasi fasi
Wameanza kukachi kachi kachi
Nipo naye fasi ya duasi duasi duasi

Maisha zawadi fura
Maisha zawadi kwa Jah
Kikubwa kumudu kara
Visa visasi balaa

Maisha zawadi furahaaa
Maisha zawadi kwa Jaaah
Kikubwa Kimudu karaha
Visa visasi balaa

Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ
Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ

Cos together we be
Eh, eh, eh, eh, eh, eh
Champion
Baby you and me
Eh, eh, eh, eh, eh, eh

Más canciones de Stero Beatz