Into Yami - Bonus Track Version
de Smonyo Sama Ex
Pole pole usiniibie penzi ya habibi
Mwanzo mwisho nitabaki na wewe kipenzi
Gimme gimme love my baby, touch me like this
Everyday I feel faith kuwa nawe yeyeye
You got me up high
Unanipa kile nataka nafurahi, yeah
Uwatoe nishai
Wote waliotaka mi nawe tuachane
And I feel alive
Ulikuwa wapi all the time
Mpenzi usiogope fame
Dunia yetu mi na we
Tuwe wote kila sehem, yeah ye ye
I wanna be your main chick, nakupenda
I wanna be your main chick, nakupenda
Oh let me be the main chick, nakupenda
I wanna be your main chick, nakupenda
Penda oh ya
Nakupa jina wendo mume wangu
We ni nyongo mkalia ini langu
Nafsi yangu imeridhia, sitokimbia
Nitazikwa nawewe
Pole pole usini nyime penzi laazizi
Tujinome raha ya mapenzi tufurahi
You got me up high
Unanipa kile nataka nafurahi, yeah
Uwatoe nishai
Wote walotaka mi nawe tuachane
And I feel alive
Ulikuwa wapi all the time
Mpenzi usiogope fame
Dunia yetu mi na we
Tuwe wote kila sehem, yeah ye ye
I wanna be your main chick, nakupenda
I wanna be your main chick, nakupenda
Oh let me be the main chick, nakupenda
I wanna be your main chick, nakupenda
Penda oh ya
Más canciones de Smonyo Sama Ex
-
Into Yami Yokuzenzela
Into Yami Yokuzenzela