Sudan
de Skinshape
Eh Sudani Sudan oh Sudan
Kweli Sudan Ume kosea nini
Wewe ndugu na yule ni dadako
Rangi ni moja na damu ni moja
Vita ni vya nini na yule jirani
Mbona nyinyi nyote mwakoseana
Chuki ya nini na huyu mwenzako
Uache vita kweli is noti good
Wallahi nyie mnatesana
Oh Sudan oh Sudani Sudan
(Oh Sudan)
Wacha vita mama
Eh Sudani Sudan tulia tulia
Usidanganywe na hawa ma Babylon
Ukaanza kumaliza we wenzako
Utajuta vile we utabaki alone
Utalia machozi ya mulala hoi
Shikaneni mikono
Muwe nyote pamoja
Wallahi Wacha vita mama
Tushikane mikono tuwe pamoja
Oh Sudan oh Sudani Sudan
(Oh Sudan)
Wacha vita mama
Sudani Sudan tulia tulia
Más canciones de Skinshape
-
Ananda
Another Side Of Skinshape
-
I Didn't Know
Filoxiny
-
I Didn't Know - Extended
I Didn't Know (Extended Mix)
-
Shimmer
Filoxiny
-
Metanoia
Filoxiny
-
Massako
Another Side Of Skinshape
-
It's About Time
It's About Time
-
Lady Sun
Lady Sun
-
Lady Sun
Another Side Of Skinshape
-
Another Day
Another Day
-
High Tide, Storm Rising
Nostalgia
-
High Tide, Storm Rising
High Tide, Storm Rising
-
Stornoway
Another Side Of Skinshape
-
Mulatu of Ethiopia
Another Side Of Skinshape
-
Can You Play Me a Song?
Another Side Of Skinshape
-
It's About Time
Another Side Of Skinshape
-
How Can It Be?
Another Side Of Skinshape
-
Road
Another Side Of Skinshape
-
There's Only Hoping
Another Side Of Skinshape
-
It's About Time (Vain elämää kausi 15)
It's About Time