Quizás, quizás, quizás
de Ruby LaVonne
Nguo kaishona
Wanajuta walioif umua
Leo mungu kanionaaa
Kanijibu zangu dua
Penzi mbaazi
Nakula huku najirambaa aah
Kaniunga kwa nazi
Samaki nampara magambaa
Kula m’bakishie baba
Sibakishi mi navimaliza
Na kama tonge likinikwama
Ye ndo maji ananituliza
Ai, ukitaka za tai chi (sawaa)
Hajapigwa anacheza
Mwali nina degree (ayaa)
Tui sitemi nameza
Baby hi indo style gaani (ooh tai chi)
Mbona umeganda hewani (ooh tai chi)
Vurugu kwakwaru kama nyani (ooh tai chi)
Kwani mwalimu wako nani, eh (ooh tai chi)
Kanipa yote nidambue
Udambu udambu nirumbue
Kaniruhusu niamue
Nitake nini nichague
Nifunike unifunue
Nibandike unibandue eeh
Kula mbakishie baba
Sibakishi mi navimaliza
Na kama tonge likinikwama
Yeye ndo maji ananituliza
Nikitaka za tai chi (sawaaa)
Hajapigwa anacheza
Mwali nina degree (ayaaa)
Tui sitemi nameza
Baby hi indo style gaani (ooh tai chi)
Mbona umeganda hewani (ooh tai chi)
Vurugu kwakwaru kama nyani (ooh tai chi)
Kwani mwalimu wako nani (ooh tai chi)
Más canciones de Ruby LaVonne
- No se encontraron más canciones del artista.