Real People

de Retronic Voice

Napiga simu hupokei, basi shika uniambie
Meseji zangu hujibu, au ni dharau baba we
Kama hunitaki, kama hunitaki si uniambie
Kama hunitaki, baba si uniambie
Basi niambie

Nikupe shilingi ngapi, ili kwako nipande thamani
Au nikuchote nyayo kwa mganga nikupeleke

Hasara, penzi letu hasara hesabu hazisomi
Kwa papara, jiwe nililolirusha leo limenieudia

Mi ni nazi na we ndo mkunaji
Abiria nipande bajaji
Kunipa presha ya nini mpenzi basi utulie

Kweli ng'ombe wa masikini hazai
Najiona nisie na bahati
Msingi nlodhani imara umesombwa na maji

Nikupe shilingi ngapi, ili kwako nipande thamani
Au nikuchote nyayo kwa mganga nikupeleke
Nikupe shilingi ngapi, ili kwako nipande thamani
Au nikuchote nyayo kwa mganga nikupeleke

Hasara, penzi letu hasara hesabu hazisomi
Kwa papara, jiwe nililolirusha leo limenieudia
Hasara, penzi letu hasara hesabu hazisomi
Kwa papara, jiwe nililolirusha leo limenieudia

Más canciones de Retronic Voice