Time Ends (Luis Flores Remix)
de Panoptica Orchestra
Nilikwelezeyaka oh mama
Fatou, wangu mama
Nilikwelezeyaka oh mama
Fatou, wangu mama
Mapenzie ya kwetu eeh
Haita tawi hata mama
Mapenzie ya kwetu eeh
Haita tawi hata mama
Tabia yako na yangu
Haisikilizani
Tabia yako na yangu
Haisikilizani
Unaona
Unaona sasa we mama
Unaona
Unaona sasa we mama
Unapenda kuvaa
Mimi sina namna Fatou we
Unapenda kula vizuri
Mimi sina pesa oh Fatou we
Nipe mali
Sizoe
Niuwe mutu
Nipate dawa ya feza
Niuwe mutu
Watanifunga
Niuwe mutu
Thambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
(Wende lote Zena wangu)
Niibe mali
Watanifunga
Niuwe mutu
Thambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
(Oh, zena wangu)
(Wende lote Zena)
Niibe mali
Watanifunga
Niuwe mutu
Thambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Niibe mali
Watanifunga
Niuwe mutu
Thambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Kama hunipendi we
Uende lote mama
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba yo
Niibe mali ukitaka watanifunga mama
Niue mutu
Thambi kwa Mungu Baba eh
Kama hunipendi bibi yangu
Uende lote mama
Kama hunipendi
Uende lote mama
Niibe mali ukitaka watanifunga mama
Niue mutu
Thambi kwa Mungu eh
Kama hunipendi bibi yangu
Uende kwenu mama
Kama hunipendi
Uniwache yangu mama eeh
Kama hunipendi
Cherie Mama wende lote
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh Zena wangu
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Oh wende lote mama
Zena wangu
Mtoto wa kwetu
Más canciones de Panoptica Orchestra
-
Acelerina
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Amelia
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Chucho el Detective
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Complejo de Amor
Panoptica Orchestra
-
Complejo de Amor (Kid Wonder Remix)
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Complejo de Amor (Lasser Sound Remix)
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Complejo de Amor (Sweet Suite Remix)
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
El Ensayo
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Meet Again
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Meet Again (Kid Wonder Remix)
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Pico Selector
Panoptica Orchestra
-
Se que te duele
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Sin Rumbo
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Time Ends
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Time Ends (Jorge HM Remix)
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Time Ends (Tyler Lewis Remix)
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
TJ Tango
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Tú Sabes
Panoptica Orchestra (Edición Especial)
-
Ven a Mi
Panoptica Orchestra (Edición Especial)