Mungu Pekee

de Nyashinski

Sijui kaa nitaona kesho
Kaa ningali na uwezo wa kuifanya n'taifanya hadi mwisho
Mwambieni huyo devil
Simwogopi shetani, Sir God yuko nami hadi kifo
Kaa nitaona kesho
Nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee
Daima niwe, imara wasiniangushe

Naona saa, kila siku nizawadi toka Maulana
So haja gani ushike tama Mama
Majaribu huisha oh yah eee!
Na hata kaa
Maadui zangu watashikana na zao njama
Siwaogopi nasima ma ma
Ya kiama yao ya ja eeeh

Hiyo ndio pace nasonga nayo
Wanashangaa hakuna stress nakuwanga nayo
Naishi sawa sina kesi mahakamani
Au madeni za majirani
Niko freshi nje na ndani, oh ya eee!

Namwogopa Mungu Pekee
Mwanadamu 'kija kun'tafash naomba Mungu un'tetee
Maneno yao yasiniumize n'fanye sugu wewe
Wakitry kun'tisha naomba nisitetemeke

I know you love me, know you love me
So I don’t fear nobody but You
I know you love me, know you love me
Nisitetemeke

Uh, siamini jo juu vile naishi life
Ni ngumu kuamini hii si ndoto
Sijui kesho vile itakaa
Kwa hivyo leo nitaifanya ka kidogo hua hairidhishi roho
Yaani sana, tena sana
Hata wale wanan'chukia wananiheshimu bruh mi si kidogo
Uh, sibabaiki nikiskia mkiongea nazidi kuwapa mi kisogo
Na kama saa sismami
Staki life iniache mataani mtaani
Mwenyezi nichungie familia yangu na pia
Za wale wote sauti yangu wanaiskia
Tupe afya nzuri, na maisha matamu
Barabara zetu zinyooke waone mfalme ni wewe
Wakupewa shangwe ni wewe
Wa kupewa shagwe ni wewe, hee!

Namwogopa Mungu Pekee
Mwanadamu 'kija kun'tafash naomba Mungu un'tetee
Maneno yao yasiniumize n'fanye sugu wewe
Wakitry kun'tisha naomba nisitetemeke

I know you love me, know you love me
So I don’t fear nobody but You
I know you love me, know you love me
Nisitetemeke

I pray we, me and my people we never die
Say we live forever and forever we multiply
And wherever we go
Ni nini wanaweza nishow hata kaa sina kitu
Uko na mimi kila siku
Kila siku Wewe Pekee

Namwogopa Mungu Pekee
Mwanadamu 'kija kun'tafash naomba Mungu un'tetee
Maneno yao yasiniumize n'fanye sugu wewe
Wakitry kun'tisha naomba nisitetemeke

I know you love me, know you love me
So I don’t fear nobody but You
I know you love me, know you love me
Nisitetemeke

Más canciones de Nyashinski