Raha

de Nandy

Kama penzi maruani pandaaa nikuaguee
Kilingeni nipige manyanga kitatuliee
Likishapanda nilivike tajii
Jini la mapenziii usivunje nazii
Kama kichanga nibembelezee, mmh
Soba ya mapenzi dawa nimeze

Usisome riwaya hadidhi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
Usisome riwaya hadidhi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha

(Aah nigandee)
Utamu wako naujua miee
(Aah nigandee)
Usiniache nishikiliee

Wanini msumari me puto nitapasukaeeeh ahaa
Ndani mambo shwari sitaki ruka ruka eeeh ahaa
Kitambaa nifute jasho tupendane leo kesho ooh
Nifukize manukato, ooh, ooh eeeh
Njee sitotoa chako ooh, acha wanile kwa macho ooh
Zabi zabi tumbo joto ooh, ooh

Usisome riwaya hadidhi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha
Usisome riwaya hadidhi wakaipata
Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha

(Aah nigandee)
Utamu wako naujua miee
(Aah nigandee)
Usiniache nishikiliee

Más canciones de Nandy