Hazipo

de Nandy

Uzuri wako mashallah
Na macho yako ndo balaah
Sauti yako noma sana
Na mwendo wako ndo balaah

Ni miujiza moto faya
Uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya
Nuksi huko nyumbani

Me hazipo (hazipoo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipoo)
Akili me hazipo bwana (hazipoo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipoo)
Aah aah, eeh yeee, iye iyeye

Sistimu nyingi kichwani akili zangu baba, ah aah
Sijitamani, nifikirie sana aah
Usinipe maruani me moyo utaama aah
Na mashetani yanapenda kwa manaa aah

Ni miujiza moto faya
Uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya
Nuksi huko nyumbani

Me hazipo (hazipoo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipoo)
Akili me hazipo bwana (hazipoo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipoo)

Takuwa sina bahati
Ukisema hautaki utauwa mapigo
Penzi la supu baba
Ukieka nazi hatari mzigo

Jaribu kuwa smart
Nipe mahabati tu japo kidogo
Mie wazimu baba
Kichwani mwangu mwenzio hazipo

Mwenzio mie hazipo (hazipoo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipoo)
Akili me hazipo bwana (hazipoo)
Kwajili yako mwenzio
Me hazipo baba (hazipoo)

Ooh yeeah
Hazipo ooh yeea
Hazipo ooh oh yeeA

Más canciones de Nandy