Mafinyo

de Moji Shortbabaa

Ni Short Baba na Daddy Owen

Chochote ninajua ni wewe
Siwezi kudanganya
Na niendapo aah, ni wewe
Siwezi kudanganya

Iwe kiatu kwa mguu, hee
Ama ni nafuu, eeh eeh
Nikipanda matatu, eeh
Ama nikienda kama tu eeh eeh

Milango unafungua singedhania, eeh eeh
Unanichanua wakinivamia aah
So sita, sita, mi sitadanganya eeh eeh
So sita, sita, ni wewe umefanya eeh eeh
So sita, sita, mi sitadanganya eeh eeh
So sita, sita, ni wewe umefanya eeh

Chochote ninajua ni wewe
Siwezi kudanganya
Popote nilipo aah, ni wewe
Siwezi kudanganya

Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya
Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya

Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya
Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya

Naweza dai ni masomo
Lakini ni wangapi wamesoma wamechizi
Naweza dai ni ujanja
Lakini utacheka utasema am kidding

Wala si nguvu na bidii
Si nguvu na bidii
Ni nguvu zako daddy
Nguvu zako daddy

Ni ju milango unafungua, singejua
Ni wewe natambua si kifua
So sita, sita, mi sitadanganya eeh eeh
So sita, sita, ni wewe umefanya eeh eeh
So sita, sita, mi sitadanganya eeh eeh
So sita, sita, ni wewe umefanya

Chochote ninajua ni wewe
Siwezi kudanganya
Popote nilipo aah, ni wewe
Siwezi kudanganya

Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya
Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya

Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya
Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya

Chochote ninajua ni wewe
Siwezi kudanganya
Popote nilipo aah, ni wewe
Siwezi kadanganya

Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya
Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya

Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya
Baba ni wee eeh
Baba ni we eeh, sitadangaya

Nikiota kwa mtaa
Nikiota kwa mtaa (ukiotaga)
Nikiota kwa mtaa
Ni wewe ulinionaga (ulinionaga)

Nikiota kwa mtaa
Nikiota kwa mtaa (ukiotaga)
Nikiota kwa mtaa
Ni wewe ulinionaga (ulinionaga)

(Amekuona na pia anakupenda)
Moji ShortBabaa, Daddy Owen

Más canciones de Moji Shortbabaa