Suvi Reprezent

de Mimi Mercedez

Oohoo ooh
Oohoo ooh
Oohoo ooh

Watoto ndo taifa la kesho (tuwalinde eeh)
Ndio viongozi wa kesho (tuwalinde eeh)
Tuwatunzee eeh (tuwatunzee)
Ndo taifa la kesho (tuwatunze eeeh)

Dhamani yao ni leo
Kama wakizingatiwa
Kukingwa na upepo
Kukingwa na upepo

Watoto wapewe kipau mbele, ooh
Elimu nafasi za masomo bila awamu
Afya ya mama na mtoto
Sawa na kiberiti kwa moto
Wakingwe na unyanyasaji Kijinsia
Wapate kinga za magonjwa kwa taifa la kesho

Watoto ndio taifa la kesho (tuwalinde eeh)
Ndio viongozi wa kesho (tuwalinde eeh)
Tuwatunzee eeh (tuwatunzee)
Ndo taifa la kesho (tuwatunze eeeh)

Mbuyu ulianza kama mchicha
Kwa kumwagiliwa mbolea na kusafishwa
Wanahitaji uangalizi wa familia
Wazazi, serikali pia
Wakingwe na unyanyasaji Kijinsia
Wapate kinga za magonjwa kwa taifa la kesho

Watoto ndo taifa la kesho (tuwalinde eeh)
Ndio viongozi wa kesho (tuwalinde eeh)
Tuwatunzee eeh (tuwatunzee)
Ndo taifa la kesho (tuwatunze eeeh)

Asilimia 90% ni vizazi mtaani
Vinaumia hususani watoto
Jukumu letu kuwalinda kama gari linavyokwepa ajali
Maana ni watoto

Watoto ndo taifa la kesho (tuwalinde eeh)
Ndio viongozi wa kesho (tuwalinde eeh)
Tuwatunzee eeh (tuwatunzee)
Ndo taifa la kesho (tuwatunze eeeh)

Asilimia 90% ni vizazi mtaani
Vinaumia hususani watoto
Jukumu letu kuwalinda kama gari linavyokwepa ajali
Maana ni watoto

Más canciones de Mimi Mercedez