Call To The Wild

de Miles From Mars

Sifikirii mangapi nafanya
Kukuridhisha baba we
Sitamani kuwa na we tena tena (aah)
Na vile minimefundwa vyema
Nikavumilia kua nawe
Nimeamini wahenga lisema sema (aah)

Vyema kupenda ukipendwa
Penda unapopendwa mpendwa
Usiyependa usipopendwa mpendwa aah
Sitamani tena kupenda
Nilishapenda na kutendwa
Sitopenda nisipopendwa tena aah

Sitamani, sifikiri
Usidhani, kuwa nami

Kukupenda nikupende boy
Ila ukaniona mi kama kolo
Unavyotaka sitoweza boy
Mifupa siwezi mwenzio kibogoyo
Kukupenda nikupende boy
Ila ukaniona mi kama kolo
Unavyotaka sitoweza boy
Mifupa siwezi mwenzio kibogoyo

Vyema kupenda ukipendwa
Penda unapopendwa mpendwa
Usiyependa usipopendwa mpendwa aah
Sitamani tena kupenda
Nilishapenda na kutendwa
Sitopenda nisipopendwa tena aah

Sitamani, sifikiri
Usidhani, kuwa nami

Sitamani eeh, yeah, yeah
Sitamani eeh
Sitamani eeh, yeah, yeah
Sitamani eeh

Vyema kupenda ukipendwa
Penda unapopendwa mpendwa
Usiyependa usipopendwa mpendwa mpendwa
Sitamani tena kupenda
Nilishapenda na kutendwa
Sitopenda nisipopendwa tena tena tena

Sitamani, sifikiri
Usidhani, kuwa nami

S2kizzy baby

Más canciones de Miles From Mars