Baba Jeni (feat. Nay Wa Mitego)

de Maua Sama

Hey heey, oh uuh yeah
oh, baby, niruhusu tufanane
Huku nikiamini one day, utanioa aah
Baby nikikuona nabanwa na haja
Baby nakuwaga kitutu ng’ag’a
Tell me nikipita kupa mawazo
Ooh baby kati nakutunuku mia mia

Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi usigande
Kama ruba nigande
Tuwe wote eh
Aah come baby, come bae
Msumali kwa nyundo nigonge
Oh Monday to Sunday, i love you

Mmmh oh basii (iokote)
Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)
Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha morili nachechemea

Oh yeahh
Baby, baby

Ikitoka kuoga nipende ya moto moto (aah)
Tinga moka kitenge totoke mtoko (aah!)
Boda kwa boda tutembee (chocho kwa choko)
Tena nikichoka nibebe (me kwako mtoto)
Aiye eh
Rafudhi ya pemba rangiani hai (hai)
Nywele kihindi chambi chambi (nai)
Cheza rafu kona bambii, mpoko mpoko

Heeii
Refa katupa penatii (ahaa eeh)
Mpira ushawekwa katiiii (aahh eeh)
Nahitaji magoli kwa chenga zako
Piga shuti nikudalie

Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi zigande
Kama ruba nikugande
Tuwe wateee (eeh)
(Uhuu yeeh)

Aah come baby come baby
Msumali kwa nyundo nigonge
oh Monday to Sunday, i love you
Mmmh oh basii (lokote)

Sio kwa beds kwa kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)
Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha morili nachechemea

Oh yeaahh
Baby, baby

Más canciones de Maua Sama