On n'est pas les mêmes
de Mainak Nandy
(Kimambo on the beats)
Aiyayayaya aiyayayaya
Aiyayayaya aiyayayaya
Niko tuli baby
Kama maji kwa mtungi
Nyonga buli baby
Nivute niiishi nibaki kishungi
Aii zuri baby
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli baby
Nilishe nishibe kitumbo ndindi
Unanikoleza, unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee
Nakupenda, nakuwaza
Bora my oh, my boo boo
We nipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
(Aiyayayaya aiyayayaya)
Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena
Nipo katikati nazungukwa na upendo
Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo
Wanafikaga wapi? Peku bila sendoff
Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo
Nakupenda, nakuwaza
Bora my oh, my boo boo
We nipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Más canciones de Mainak Nandy
-
5 Juillet 1962
Loha
-
Bandolero
Loha
-
Bendero
Loha
-
Bonnie & Clyde
Loha
-
C'était la ure
Loha
-
C'était pas gagné
Loha
-
Déçu
Loha
-
Il le fallait
Loha
-
J'me balade
Loha
-
J'me rappelle papa
Loha
-
La BP
Loha
-
-
Lockdown
Lockdown
-
Loha
Loha
-
Luna
Loha
-
Nixar Ei Endhare
Nixar Ei Endhare
-
Pankani
Loha
-
Pour les jaja
Loha
-
Prologue
Loha
-
René Croco
Loha