La La Land Medley

de Lord & Lady

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani, Yahaya eeh
(Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya)
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani, Yahaya eeh
(Oh Yahaya, oh Yahaya)

Huyu kijana mwenzetu, kila siku tupo nae maskani
Anakula ofa za watu, anapoishi hata hapajulikani
Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae
Anavyozuga, anavyopita, si umdhaniae
Na hafananii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
Kumbe hana helaa
(Longo longo nyingi)

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani, Yahaya eeh
(Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya)
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani, Yahaya eeh
(Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya)

Kwa story za vilingeni, utafikiri kweli yeye ndio boss
Suruali zake na mashati, utasema anafanya kazi bank
Mara anasema usalama wa taifa, hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae
Na hafanii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
Kumbe hana helaa
Ooh Yahaya

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani, Yahaya eeh
(Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya)
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani, Yahaya eeh
(Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya)

Mara anasema usalama wa Taifa, hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
Kumbe hana helaa

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani, Yahaya eeh
(Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya)
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani, Yahaya eeh
(Oh Yahaya, oh Yahaya)

Más canciones de Lord & Lady