Samassa

de Lassana Hawa Cissokho

Imani yangu, kwake ipo
Pamoja na kuumizwa kote, bado nipo
Pengine yupo anayekidhi haja zake
Ndo maana sina la tiba na pendo lake

Nabaki nalia, najiinamia
Uwezo sina wa kumwambia
Nitoe wapi ujasiri, ajue eeh, ajue
Nikope wapi ujasiri, ajue eeh, ajue

Nikisema nilipize, aha, aha
Itanigharimu maisha yangu, aha, aha
Nipe nimuulize, aha, aha
Ili niokoe hisia zangu

Mambo shagala bagala
Akizidi mi nitachizi, shagala bagala
Mi nitachizi
Eeeh akizidi mi nitachizi, nitachizi

Shagala bagala
Akizidi mi nitachizi, shagala bagala
Mi nitachizi
Eeeh akizidi mi nitachizi, nitachizi

Zinanifariji ahadi zake
Asemapo ananipenda
Kinachonishangaza kauli zake
Nimuache ametingwa
Nakosa haraka amenipumbaza
Najiona mi mjinga

Nabaki nalia, najiinamia
Uwezo sina wa kumwambia
Nitoe wapi ujasiri, ajue eeh, ajue
Nikope wapi ujasiri, ajue eeh, ajue

Nikisema nilipize, aha, aha
Itanigharimu maisha yangu, aha, aha
Maybe nimuulize, aha, aha
Ili niokoe hisia zangu

Mambo shagala bagala
Akizidi mi nitachizi, shagala bagala
Mi nitachizi
Eeeh akizidi mi nitachizi, nitachizi

Shagala bagala
Akizidi mi nitachizi, shagala bagala
Mi nitachizi
Eeeh akizidi mi nitachizi, nitachizi

Aha, aha
Aha, aha
Aha, aha
Aha, aha

Mambo shagala bagala
Shagala bagala

Más canciones de Lassana Hawa Cissokho