March; The Signaller

de Lady Waks

Aah aah ah, ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria haba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha

Yeah, hakuna wa kunipa unachonipa, na wala
Hakuna wa kuniita unavyoniita
Hakuna wa kunifanya nihisi
Ninavyohisi nikiwa nawe kwako nimefika
Nataka uwe nami kila siku
Uwe nami niwe nawe iwe mchana na usiku ah
Uwe jirani, uwe nami tuwe ndani
Urudi nyumbani kwani kwangu we ni kila kitu, yeah
Na inabidi uwe hapa bila shaka
Muda hauendi natamani urudi sasa
Hata Mungu hapendi nagubikwa na mashaka
Niondoe wasiwasi naomba urudi faster
Ujue, upweke na hofu ni juu yako
Nimekumiss nataka nijue japo
Upendo wako unanifanya niwe juu
Na kama utachelewa nataka nitue hapo

Aah aah ah, ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha

Kutoka siku ya kwanza nilijua kwamba uuh
Itakuwa ngum sana na nikawaza uuh
Where you are you're far away, come back home
It's not the same without you, baby, come back home
I need you here with me, come back home
Tears on my pillow, eeeeh

Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki, ooh I miss you

Aah aah ah, ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha

Kila siku nafungua panzia asubuhi
Naangalia nje njiani
Nikidhani pengine siku utarudi
Ili tena niwe furahani, natafuta nyayo zakoo

Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki, ooh I miss you

Aah aah ah, ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha

Aah tears on my pillow
Nimechoka nipo njiani, mpenzi

Más canciones de Lady Waks