Sina mali, sina deni (Free)
de Khadja Nin
Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto
Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua
Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma
I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori
Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona
I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni
Más canciones de Khadja Nin
-
Bwana C.
Khadja Nin
-
Embargo
Ya...
-
Kuji Fondeya
Ya...
-
La Ballade De Gilles Et Shana
Ya Pili
-
Leo Leya
Khadja Nin
-
Mama
Ya...
-
Mwana Wa Mama
Sambolera
-
Mzee Mandela
Ya...
-
Njala
Khadja Nin
-
Rosy
Sambolera
-
Rudiya
Khadja Nin
-
Sambolera Mayi Son
Ya Pili
-
Sambolera mayi son - Remix
Sambolera
-
Save Us
Sambolera
-
Wale Watu
Khadja Nin
-
Wale Watu - Remix
Sambolera