diggz da oppz
de Kautiouz Beatz
Vee Money
Legendury Beatz
Figisu ndiyo kitu mi sinaga
Nje mpaka ndani na mkonga na swagger
Wananiuliza kitu gani nampaga
Real love ndiyo nampaga mie
Oh Lord simuachi muachi muachi
Wanga hawana nafasi fasi fasi
Wameanza kukachi kachi kachi
Nipo naye fasi ya duasi duasi duasi
Maisha zawadi fura
Maisha zawadi kwa Jah
Kikubwa kumudu kara
Visa visasi balaa
Maisha zawadi furahaaa
Maisha zawadi kwa Jaaah
Kikubwa Kimudu karaha
Visa visasi balaa
Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ
Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ
Cos together we be
Eh, eh, eh, eh, eh, eh
Champion
Baby you and me
Eh, eh, eh, eh, eh, eh
Kama kama nisinge kuwa macho
Singeweza linda kile nilicho nacho
Drama, drama
Nishatemana nazo, baby
Hatuna tena mazo
Kama kama nisinge kuwa macho
Nisingeweza linda kile nilicho nacho
Drama, drama
Nishatemana nazo, baby
Hatuna tena mazo
Oh Lord simuachi muachi muachi
Wanga hawana nafasi fasi fasi
Wameanza kukachi kachi kachi
Nipo naye fasi ya duasi duasi duasi
Maisha zawadi fura
Maisha zawadi kwa Jah
Kikubwa kumudu kara
Visa visasi balaa
Maisha zawadi furahaaa
Maisha zawadi kwa Jaaah
Kikubwa Kimudu karaha
Visa visasi balaa
Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ
Together we be champion, champion, champion
Champion, champion, champion, champ
Cos together we be
Eh, eh, eh, eh, eh, eh
Champion
Baby you and me
Eh, eh, eh, eh, eh, eh
Más canciones de Kautiouz Beatz
-
2 ill 2 mindz
2 ill 2 mindz
-
chi breeze
chi breeze
-
hardd dayz
hardd dayz
-
hoot rockz
hoot rockz
-
itz on
itz on
-
mob deepz
mob deepz
-
no kappin & lackinz
no kappin & lackinz
-
Out Here in It
Out Here in It
-
out tha streetz
out tha streetz
-
swerve upz
swerve upz