Tony Montana

de Karma K

Kama umeshindwa pokea
Hisia zangu nilizokwambia
Umenipa maumivu
Kisa mapenzi mi nakwambia

Siri si siri tena
Maana nafsi inaniumbua eh
Ata nikisema nifiche
Machozi yananiumbua eh

Salama si tulizo la moyo
Ukweli ni jambo jema
La kupokea kuna maumivu yake

Mmh
Salama ni la moyo
Ukweli ni jambo jema
La kupokea kuna maumivu yake

Upendo kutendwa
Mapenzi yamefika ukingoni
Mie mjinga sikurogi kwa ubani
Bye wewe, bye wewe
Bye wewe, bye wewe

Sikatai ulichoniambia
Japo ukwasi itanisumbua
Asili ya macho daima kulia
Maumivu nitayavumilia

Najua shida
Ndo mwanzo ya raha
Mapenzi huchezwa na star
Umesepa na yangu furaha

Salama si tulizo la moyo
Ukweli ni jambo jema
La kupokea kuna maumivu yake

Mmh
Salama ni la moyo
Ukweli ni jambo jema
La kupokea kuna maumivu yake

Upendo kutendwa
Mapenzi yamefika ukingoni
Mie mjinga sikurogi kwa ubani
Bye wewe, bye wewe
Bye wewe, bye wewe

Jua la utosi
Lina kitanzi machoni
Penzi hekalu la roho
Mulika macho

Jua la utosi
Lina kitanzi machoni
Penzi hekalu la roho
Mulika macho

Upendo kutendwa
Mapenzi yamefika ukingoni
Mie mjinga sikurogi kwa ubani
Bye wewe, bye wewe
Bye wewe, bye wewe

Más canciones de Karma K