August
de Karen LeFrak
Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya uhai
Tunasherekea hakuna anayetudai
Na mliotabiri Hayawi ngoja niwasabahi
Ndoa inanisitiri, haki ya Mungu Wallah
Ooh Mama, mzaa chema
Umetisha wewe eh, eeh
Kama Sio Juhudi zako
Ningempata wapi huyu my bebe?
Aah aaiyaah
Ooh Mamaa, mzaa chema
Umetisha wewe
Kama sio malezi yako
Ningemtolea wapu huyu my bebe?
Ooh, ooh!
Wewe Mama Mkwe!
Umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
Umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
Umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
Umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Allahamdullilah tumevalishana pete
Baridi la ubachela hali ilikua tete
Mkwe umenikabidhi mwanao, aje anitetee
Niachane na Upweke, we ndo kabari yao
Ooh Mama, mzaa chema
Umetisha wewe eh, eeh
Kama Sio Juhudi zako
Ningempata wapi huyu my bebe?
Aah aaiyaah
Ooh Mamaa, mzaa chema
Umetisha wewe
Kama sio malezi yako
Ningemtolea wapu huyu my bebe?
Ooh, ooh!
Wewe Mama Mkwe!
Umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
Umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
Umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
Umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Más canciones de Karen LeFrak
-
Clarity (Single)
Clarity (Single)
-
Meditation: I. Promise
Karen LeFrak: Interlude, Vol. 3 – Gratitude
-
Consolation
Consolation