Spare Time

de Karen Homayounfar

Oya, aah!
Ooh!
Oya, oya, oya
Oya oya oya oya oya

Labda nipate nafasi
Niseme nawe kidogo
Mwenzako moyo waenda kasi
Nimekumiss sio kidogo

Labda nipate nafasi
Niseme nawe kidogo
Mwenzako moyo waenda kasi
Nimekumiss sio kidogo

Nikueleze mapenzi
Hivi unajua
Yanaweza kufanya ukalia
Kumbe hupendwi, unajisumbua
Ye anaonaa

Mama mapenzi
Hivi unajua
Yanaweza kufanya ukalia
Kumbe hupendwi, unajisumbua
Yee anaonaa

Napiga simu
Mpenzi nakupenda
Ukiwa mbali mi nateseka
Kumbe mshenzi anadanga
Na ukikata simu anacheka

Jamani aah (aah!)
Ooh (ooh)
Jamani aah (aah!)
Ooh (ooh)

Ah!
Aah!

Sina sina sina sina sina
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie

Sina sina sina sina sina
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie

Mi najiuliza mengi
Hivi ni nani aniwazaye
Mbona sipendwi
Ama riziki yangu baadae

Mi napata uchizi
Jamani nani anipendaye
Mi sijiwezi
Hivi ni yupi mi niwe naye

Yote sawa nishachoka kuwa roho juu
Usiponipenda utajiju
Ila siwezi lia na wewe tu
Bora nijidangie vibabu babu

Aah!
Nijidangie vibabu

Sina sina sina sina sina
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie
Sina wa kunifariji mie
Wa kunipenda mie

Jamani aah (aah!)
Ooh (ooh)
Jamani aah (aah!)
Ooh (ooh)

Oh jamani
Ana mchicha uko nyuma umeinuka ivo
Ana mchicha uko nyuma umeinuka ivo
Ana mchicha uko nyuma umeinu

Ooh jamani ukienda mbele poa (poa)
Ukirudi nyuma poa (poa)
Ukinama poa (poa)
Ukinuka poa (poa)
Basi poa poa poa (poa)
Ukinama poa (poa)
Ukinuka poa (poa)
Ukienda mbele

Wee jamani, mama lishe poa (poa)
Wanafunzi poa (poa)
Yaani poa poa poa (poa)
Boda boda poa (poa)

Aaah meja hebu tulia kwanza
Pesa kidogo tu umeenda kuweka na jino
Chefuu!

Más canciones de Karen Homayounfar