Khabel Em

de Karen Hakobyan

Leo ni siku yako ya furaha
Twazidi kukuombea dua
Naona muda umewadia
Kata keki tule
Na maputo tushakupulizia
Na maua ua tukumwagie

Hongera
Kwa kutimiza miaka khadhaa
Hatujaja tu kiholela
Na zawadi kede kede tumekuandalia
Hongera
Umetimiza na sasa tunasema

Happy birthday (happy birthday)
Happy birthday (happy birthday)
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday (happy birthday)
Happy birthday (happy birthday)
Happy birthday
Aah, to you

Tumekusanyika na umati
Kwa pamoja, tuje kusherehekea
Tumekuandalla mpaka kamati
Ya maji kuja kukumwawgia

Hongera
Kwa kutimiza miaka khadhaa
Hatujaja tu kiholela
Na zawadi kede kede tumekuandalia
Hongera
Umetimiza na sasa tunasema

Happy birthday (happy birthday)
Happy birthday (happy birthday)
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday (happy birthday)
Happy birthday (happy birthday)
Happy birthday
Aah, to you

Más canciones de Karen Hakobyan