Im Maraln Es

de Karen Hakobyan

Ukija niacha moyo wangu
Nitaumia sana mie
Ndomana nikikuona
Mwili wote unanitutusika eeh

Kua nawe sina hakika, utaniua wee!
Mi kunipa pendo lako
Kwangu imekua kama njozi
Hata pale tufikapo
Amini naumwa homa!
We sio wa sampuli wala sample
Kwangu umekua kama dozi
Hata pale niangukapo
Awe unaniinua savipi ukiniacha?

Me nitapata tabu, ooh tabu!
Me nitapata tabu, ooh tabu!
Me nitapata tabu, ooh tabu!
Me nitapata tabu, ooh tabu!

Niko na wewe, kinywa hakineni
Yanini niandikie mate
Eti kipya kinyemi maneno ya uvumi yasinichachafye!
Mimi umenifunga semi kwa rafikizo baba usintangazie

Ona mana fisi bucha hasusiwi
Hata buti haing'ai bila kiwi
Malumbano kando hayatakiwi
Ona mana fisi bucha hasusiwi
Hata buti haing'ai bila kiwi
Malumbano kando hayatakiwi
Sasa vipi ukiniacha?

Me nitapata tabu, ooh tabu!
Me nitapata tabu, ooh tabu!
Me nitapata tabu, ooh tabu!
Me nitapata tabu, ooh tabu!

Tujikongoje tara tara
Taratibu kokote sisi tutafika
Visiwani bara bara
Majaribu usitetereke yatakwisha

Me nitapata tabu, ooh tabu!
Me nitapata tabu, ooh tabu!
Me nitapata tabu, ooh tabu!
Me nitapata tabu, ooh tabu!

Más canciones de Karen Hakobyan