Gurangsang

de Kaka Alfarisi

Ndani ya roho yake anaumwa
Uli mwahidi utatunza penzi lake
Akaku fungulia roho too much (too much, too much)
Na si amekua nawe ameji tuma
Time ya msoto na ndoto
Wakati wa mboga
Uki afford to skuma (skuma, skuma)

Aah kwa machozi anaogelea
Zile unamcheza kama soccer
Watoto ameku lelea
Sasa unaona kum penda sio hoja

Ile sacrifice amedu amedu that for true
Na ni ukweli amedu that for you (do that for you)
Buda sio you
Na kitu unadu aah Buda sio true

(Aaha)
Unambeba ndogo
Walai unam beba ndogo
(Aaha)
Unambeba ndogo
Ndogo, ndogo

Unambeba ndogo
Walai unam beba ndogo
(Eeeh)
Unambeba ndogo
Ndogo, ndogo

Na kila morning utakula ka smily
Queen beside me, Royal ka Riley
Ataka ni time me aah vita behind me
Blessed jua ushani zalia ka boyie
Ka ni tears, ni tears of joy
You're VIP yani wa dhamana
Na ndio maana nakupenda kwa sana
Kwako Nita kaa sana yani nitakazana
No doubt jua you're above them
Na sitaku seti uko ka back bench
Sija wahi changanyikiwa na ma gal dem
Mbona wamchokozange

(Aaha)
Unambeba ndogo
Walai unam beba ndogo
(Aaha)
Unambeba ndogo
Ndogo, ndogo

Unambeba ndogo
Walai unam beba ndogo
(Eeeh)
Unambeba ndogo
Ndogo, ndogo

You better take her out and buy some wine
All she deserves is the sky
On the floor make her wine
Yeh, yeh you better know

Ile sacrifice amedu amedu that for true
Na ni ukweli amedu that for you (do that for you)
Buda sio you
Na kitu unadu aah Buda sio true

(Aaha)
Unambeba ndogo
Walai unam beba ndogo
(Aaha)
Unambeba ndogo
Ndogo, ndogo

Unambeba ndogo
Walai unam beba ndogo
(Eeeh)
Unambeba ndogo
Ndogo, ndogo

Hahaha, usi bebane ndogo manze
If you find somebody you love and they love you back
(It's King Kaka and Arrow Bwoy haha)
Love them manze, wuui
Love is a beautiful thing haha, nasi unajua
Kuubwa

Más canciones de Kaka Alfarisi

  • No se encontraron más canciones del artista.