Sweet Maama

de Jose Chameleone

It's been a loong, long, long, long time
(Paddy producer, audio one, come in)
Bila valu valu baby
Naomba mi na wewe tuwe
Achana valu valu darling, naleli na lelio
Siina valu valu baby
Nataka mi na wewe tuwe
Achana valu valu darling, je t'aime, je t'aime je t'aime

Kutoka tulipo kutana
Sija wai kufikiria tuta'achana
Lakini, tulivopendana hueleweki unaniumiza sana
Upendo gani na sikuoni baby
Upendo gani hupatikani honey
Upendo gani huniamini baby? Valu, valu, valu
Upendo gani na sikuoni baby
Upendo gani hupatikani honey
Upendo gani huniamini baby
Valu, valu, valu, valu, valu

Uliemyafuta ulisha pata
Anaekupenda sana kweli usiwai kata
Mimi na we, twende wote kwote unataka
Tukae, tule, tunywe ujue mi nilisha data
Wasikudanganye eti sina uwezo
Ninao, na sio mchezo
Mbona kunipa mawazo
Hamua, hamua, hamua baby
Wasikudanganye eti sina uwezo
Ninao, na sio mchezo
Mbona kunipa mawazo
Hamua, hamua, hamua, valu, valu, valu

Moyo wako ufungue
Upendo wa ukweli uje uingie
Nacho omba kama niko na wewe
Utaratibu pekee baby tuendele
Mimi na we, tuwe wote mileli
Mimi na we, mileli na mileli you ma baby
Mimi na we, nijali nami nitakujali
Mimi na we
Mimi na we, tuwe wote mileli
Mimi na we, mileli na mileli you ma baby
Mimi na we, nijali nami nitakujali
Mimi na we oh, na wewe

Más canciones de Jose Chameleone