In The Silence

de Ice Zaddy

Lalaalalaaha
Lalaalalaaha
Zaddy raydio oouwoo

Baba na mama nimekuwa, nimekuja kwenyu nataka ruhusa
Kuna binti pia amekuwaa, ruhusa tuishi wawili
Baba sijafanikiwa, ila watoto ndo barakaa
Tuishi leo makiwa, usione tuna haraka
Wangapi wengi hawajaoa, ila bado tu wanataka
Tusichukie na ndoa, mali mbeleni tutapata

Nifuraha yangu ya maisha
Nikifa kesho nani tanizika
Nifuraha eeh nifuraha, nifuraha aah
Nifuraha yangu ya maisha
Nikifa kesho nani tanizika
Nifuraha eeh nifuraha, nifuraha aah

Nikivishe, chanda chema
Nikivishe, chanda chema
Nikivishe, chanda chema
Nipewe heshima
Nikivishe, chanda chema
Nikivishe, chanda chema
Nikivishe, chanda chema
Nipewe heshima

Nilipomuona hapa, niliamua nituliee
Nimeteseka sana, kwake nivumilie
Mbeleni niitwe baba, moyoni nimjue
Nieleweni mama, nanyi mumjuee
Ana tabia za paroti, aah mpole saaana
Chakula tamu kama keki, aaaah mpishi saaana
Nikiwa naye siizeeki, aaaah mcheshi saana
Hapendi za manoti, aah mzuri saaana
Muniwieeh muniwieeh eeh mie
Nimfungie nimfungie eeeh yeye
Muniwieeh muniwieeh eeh mie
Nimfungie nimfungie eeeh eeh yeye

Nifuraha yangu ya maisha
Nikifa kesho nani tanizika
Nifuraha eeh nifuraha, nifuraha aah
Nifuraha yangu ya maisha
Nikifa kesho nani tanizika
Nifuraha eeh nifuraha, nifuraha aah

Nikivishe, chanda chema
Nikivishe, chanda chema
Nikivishe, chanda chema
Nipewe heshima
Nikivishe, chanda chema
Nikivishe, chanda chema
Nikivishe, chanda chema
Nipewe heshima

Más canciones de Ice Zaddy