Stories Untold

de HOYO-MiX

Shujaa

Unasafirini kwa matakwa ya watu wako
Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa
Mwishowe mnaunguweni tena majivuni
Mwishowe mnaunguweni tena majivuni

Ukuu ukuu
Kwa wanao ona yajayo
Tutaimba wimbo wa mwanga moto, usiku wa giza

(Mwanga na moto wetu)
Matakwa ya watu wako
Unachagua vita kwa jina la
Shujaa Mwishowe unaunguwa kwaajili ya ndoto
Mwishowe unaunguwa tena majivuni

Unasafirini kwa matakwa ya watu wako
Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa
Mwishowe unaunguwa moto kwaajili ya ndoto
Mwishowe unaunguwa tena majivuni

Unasafirini kwa matakwa ya watu wako
Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa
Mwishowe unaunguwa moto kwaajili ya ndoto
Mwishowe unaunguwa tena majivuni

Utukufu
A shujaa
Geuka kama alfajiri

Más canciones de HOYO-MiX