Time Ripple

de Hot Lava Tiger Collective

Kwako tena sitamani
Nilishajua nilivaba
Huna jipya
Kurudi haiwezekani
Nishalioga janaba
Nikajisafisha, uhmm

Oh maradhi yangu yamepata muguzi
Mola wangu amenivusha vihunzi
Pole mwenzangu, unokesha kwa waganguzi
Nishapata wangu anaejua nogesha chuzi
Naa ananipa mapenzi na kunijari dia
Ya nyuma niyasahau
Na anamaliza tenzi kutwa kunisifia
Kwa methali na nahau
Kwingine nitake nini

Ntang'angana, Nang'ang'ania
Oohoo mimi
Nang'ang'Ana nang'ang'ania
Sitaki madanga wa mjini
Nang'ang'Ana, nang'ang'ania
Oohoo mimi
Nang'ang'Ana Nang'ang'ania

Aah atake cha uvunguni
(Sawa sawa)
Pingili za sakafuni
(Sawa sawa)
Michezo ya kusaka kunguni
(Sawa sawa)
Tom na Jerry katuni
(Sawa sawa)
Sawa

Uliposema wa nini
Ye aliwaza atanipata lini
Kendebwe za nini
Na vijembe vya chini chini
Yupo makini
Penzi kashalibana na pini
Anipenda mimi
Hajazoea kuzini zini
Kwanza kakuzidi maarifa
Mpira tisini dakika
Nyavu anazitikisa aahee
Mlangoni mpaka kwa dirisha
Pindu ananipindisha
Mtoto ananifikisha aahee

Naa ananipa mapenzi na kunijari dia
Ya nyuma niyasahau
Naa anamaliza tenzi kutwa kunisifia
Kwa methali na nahau
Kwingine nitake nini

Ntang'angana, Nang'ang'ania
Oohoo mimi
Nang'ang'Ana nang'ang'ania
Sitaki madanga wa mjini
Nang'ang'Ana, nang'ang'ania
Oohoo mimi
Nang'ang'Ana Nang'ang'ania

Aah atake cha uvunguni
(Sawa sawa)
Pingili za sakafuni
(Sawa sawa)
Michezo ya kusaka kunguni
(Sawa sawa)
Tom na Jerry katuni
(Sawa sawa)
Sawa

Más canciones de Hot Lava Tiger Collective