Darkest Night

de Hot Lava Tiger Collective

Wasafi
(Ayolizer!)
Wasafai Records!

Kama imeshindikana kunirudia isiwe tabu
Usiuforce moyo kupenda usipo stahili
Ya Nini Kung’ang’ania nishachoka kuwekwa sub
Siwezi oh na mapenzi nishaghaili

Tena niko tayari
Vipigwe vinumbi kengere kwa sherehe
Kinaga ubagha
Mbele ya umati tuachane
Na kama hautojali
Tuite waumini mapadri na masheikh
Yaishe labda sa kwa nini tutesane

Kweli we ndo nikupendae
Ila unanipa ghadabu jina
Tusitoane nyongo
Na kama umenichoka eh
Niache ki staarabu jina
Usinipe chongo iye

Mwili umebaki kongoro
Nyama sina ni mifupa
Naiona ndomboro
Kabisa siwezi furukuta
Penzi kiporo
limeshachina linanuka
Huishi kokoro
Purukushani kutwa kucha iyeeh

Bora tuachane
Bora tuachane siwezi
Bora tuachane
Yamenishinda mapenzi
Mi naona bora tuachane eeh
Tuachane siwezi
Bora tuachane
Yamenishinda mapenzi

Ni dhahili Kisima kimekauka maji
Ndo maana naona kata sina maana tena
Nilifikiri mi gonjwa langu limepata mponyaji
Umeniongezea homa mwili wote wantetema

Mi naona basi
Labda si riziki yangu
Kama hunitaki
Acha tu niende zangu
Ya nini mishikaki
Ntatafuta boda yangu
Nijinafasi
Niipande peke yangu

Mwili umebaki kongoro
Nyama sina ni mifupa
Naiona ndomboro
Kabisa siwezi furukuta
Penzi kiporo
limeshachina linanuka
Huishi kokoro
Purukushani kutwa kucha iyeeh

Bora tuachane
Bora tuachane, siwezi
Bora tuachane
Yamenishinda mapenzi
Mi naona bora tuachane eeh
Tuachane siwezi
Bora tuachane
Yamenishinda mapenzi

Ooh oh! Liwalo na liwe
Na namba zako ntafuta ama unasemaje
Limalo na liwe nguo zako mashuka
Wacha nkazimwage
Liwalo na liwe
Sio kama nimesusa
Ila ntafanyaje?
Liwalo na liwe we kaa mi nanyanyka
Acha tu niagee
Hii

Más canciones de Hot Lava Tiger Collective