En tid av längtan

de Frida Strömblad

Na na na na na
Yeah, yeah

So alinipigia simu akasema 'ananipenda' (enhee)
Anataka kuwa na mimi wikiendi
Na kama itakuwa fresh, tunaweza chill humo (weeh)
Tukakaa tuka-drive bike, kila bar, club zunguka jiji la Dar
Nikapenda idea, akasema fresh, ninakupitia Friday
Look good, cause we gonna party all day
I'mma be your baby, show you off, nakupenda, sikufichi
Alipokata tu nikapiga kwa mina
Shoga nimepata wangu wa maisha, nigga got it
She said: send me his picture, I did
Na akakaa kama five minutes hakunirudia, ikabidi ni text tena
Vipi mbona kimya au wamjua?

Yes, bitch, this nigga is a liar, ni malaya
Alinitaka me nikamkataa akaenda kwa Kayla
And he's been texting Lala, now you?
Hana haya! Nikawa confused

What? You serious?

Yes, let me send you his texts
Alikuja kwangu akasema anaweza kuwa na mimi forever
(Hahaa)

Aah I don't know
I know, I know, I know (yeah)
Let him know
That you know, that you know, that you know
Anakudanganya huyo
Anakudanganya (yeah yeah)
Anakudanganya huyo
Anakudanganya (yeah yeah)
What is love?

Nikaanza jiuliza
Bro can hurt hadi ameniumiza
Nikataka kulipiza, askali mtumwe kekekaa
We show him sisi sio wa kucheza nao

Well, it's good though, maybe amebadilika
Should I try it? Naweza dharirika
Ila ana features ambazo me napenda
Maybe me na kupendwa, so why should I care?
But he looks like a player navyomtizama
Nikaanza m-stalk Instagram
Through the comments na wanaom-follow, nikadata (weeh)
Nikagata kina wema, Mimi Mars
Na comments za makopakopa, mezaa

Nimenuna, I'm thinking about it
Nikubali anifate
Twende tuka-party hell whole night
I'm thinking about it
Nikubali anifate
Twende tuka-party

Aaah I don't know
I know, I know, I know (yeah)
Let him know
That you know, that you know, that you know
Anakudanganya huyo
Anakudanganya (yeah yeah)
Anakudanganya huyo
Anakudanganya (yeah yeah)
What is love?

Más canciones de Frida Strömblad