Jack Nice

de Dida Pelled

Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia
Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia

Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia
Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia

Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao
Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao

Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao
(Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao)

Maji ya uvuguvugu (ayaa)
Mtengee akaoge (ayaa)
Mume hataki vurugu (ayaa)
Anataka utulivu (ayaa)

Mpake pode mumeo, usije mpaka jivu
Raha ya penzi linoge, wala usiwe na wivu
Kamtunze mume wako, ooh
Wala usiwe na wivu

Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia
Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia

Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia
Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia

Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao
Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao

Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao
Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao

Ashife upende tunda (ayaa)
Na wazee kuwapenda (ayaa)
Na pendo litapoanza (ayaa)
Na waridi litatanda (ayaa)

Ujue vya kumlinda, asiwe kutwa aranda
Ashife usije shindwa, presha itakupanda
Kuna watu wamuinda, aaaah
Mara watamnyakua

Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia
Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia

Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia
Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia

Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao
Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao

Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao
Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao

Kuna maneno laini (ayaa)
Yatoa nyoka pangoni (ayaa)
Kwa mapenzi ni fasheni (ayaa)
Mume atabaki ndani (ayaa)

Ukijifanya muhuni, ataja toroka ndani
Kuna wanamtamani ni watoto wa mjini
Utabaki laitaani, eeeeh
Sisi tushamnyakuwa

Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia
Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia

Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia
Wapeni njia warembo, wapeni njia
Waje mbele tuwaone, wapeni njia

Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao
Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao

Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao
Ni sawa, ukicheza ndio sawa leo
Kwa furaha, wawili wameoana hao

Más canciones de Dida Pelled