Nadir Jemon Jharna Aachhe

de Debolinaa Nandy

Kuna maneno ya kusikia
Sikupendi utaambiwa
Sio ishu ni hatari usije ukayasikia
Mwenyewe umenisifia
Mwendo wangu wa ngamia
Taratibu bwana darling usije ukayasikia

Usije niacha wakati nakupenda sana
Eeh bwana we me nitapagawa
Mambo madogo kelele za kusemezana
Nielewe mambo weka sawa
Usije niacha mwenzako ntamisi matukio wo wo wo
Kama ulaya wanavyofanyagaa
Utanipa donda hapo hapo nikianzishe kilio wo wo wo
Baba ubaya usije ni bwagaa

Nakupenda
Badobadobadobadobadobadobadobado
Badobadobadobadobadobadobadobado

Más canciones de Debolinaa Nandy