I Can Do Both

de Dayna Monet

Yaani wee chungu chote umekomba nyama
Majiwenge haitoshi ukamponda jamaa
Mawenge zile mie kutwa tamaa
Nitembee nisimame mara kuchutama

Ile katambua uliapa huniachi mii
Iwe jua au mvua joto kali baridi
Bora zaidi nijue ni ipi shida yangu mi
Ninunue hata maua nikifa yanifariji

Nalegea pumzi inapotea
Cha kunipepea kipo mbali mbali
Nalegea pumzi inapotea
Cha kunipepea kipo mbali

Nitafanya mimi mie, homa homa
Moyo wangu utulie, homa homa aah
Nitafanya mimi mie, homa homa
Moyo wangu utulie, homa homa aah

Ile mideko, mineso yote chumbani
Leo mateso kuliko uyaone ukubwani
Kukufanya special kafiri wangu mwandani
Hakikufika kesho uniombe chumvi jamani

Isiponi maana
Nalegea pumzi inapotea
Cha kunipepea kipo mbali mbali
Nalegea pumzi inapotea
Cha kunipepea kipo mbali

Nitafanya mimi mie, homa homa
Moyo wangu utulie, homa homa aah
Nitafanya mimi mie, homa homa
Moyo wangu utulie, homa homa aah

Más canciones de Dayna Monet