Not So Sad
de Christian Forshaw
Sitajuta kupenda ingawa yaumiza moyo
Me naumizwa kukosa la kupewa likiiizo
Mimi sina makosa
Mapenzi ya hofu ni kawaida
Ni kheri ukihisi jambo
Ulichunguze upate uhakika
Mimi sina makosa
Mapenzi ya hofu ni kawaida
Ni kheri ukihisi jambo
Ulichunguze upate uhakika
Si ulisema mwenyewe nisipige simu
Wala kutuma message
Na ukasema kwamba hunipendi kuniona
Unaweza tokwa machozi
Tukigombana tunaelewana
Mwisho tunapuuzia
Hili limekaaa haifai iih kunyamaziwa
Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia
Hili limeka aah haifai iih kunyamaziwa
Wivu ninao ni binadamu nimekamilika aah
Ingawa muda sinao kila dakika me naijutia aah
(Lingala)
Sijui kwanini tunagizana
Wakati najua tunapendana
Hatua zetu zinapishana
Kwenye safari Yetu ya mapenzi
Si ulisema mwenyewe nisipige simu
Wala kutuma message
Na ukasema kwamba hunipendi kuniona
Unaweza tokwa machozi
Tukigombana tunaele wana mwisho tunapuuzia
Hili limeka aa haifai iih kunyamaziwa
Tukigombana tunaele wana
Mwisho tunapuuzia
Hili limeka aa haifai iih kunyamaziwa
Lenye uhakika tulifuate yeehee
Lisilo uhakika tuliache yeehee
Sina unajua na kupenda
Si unajua achana nao
Si unajua nakupenda
Mtoto achana nao
Si ulisema mwenyewe nisipige simu
Wala kutuma message
Na ukasema kwamba hunipendi kuniona
Unaweza tokwa machozi
Tukigombana tunaele wana
Mwisho tunapuuzia
Hili limekaa haifai iih kunyamaziwa
Tukigombana tunaele wana
Mwisho tunapuuzia
Hili limekaaa haifai iih kunyamaziwa
Hilo aifai kunyamaziwa
Hilo aifai kunyamaziwa
Hili aifai aifa iih
Hilo aifai kunyamaziwa
Más canciones de Christian Forshaw
-
12 Étude-Caprices pour Saxophone: No. XII
Reflections of France
-
Abide With Me - Arr. for Saxophone and Vocal Ensemble by Christian Forshaw
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
Abide With Me (Arr. for Saxophone and Vocal Ensemble Christian Forshaw)
Abide With Me (Arr. for Saxophone and Vocal Ensemble Christian Forshaw)
-
Drop, Drop Slow Tears - Arr. for Saxophone and Vocal Ensemble by Christian Forshaw
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
Improvisation et Caprice pour Saxophone: I. Improvisation
Reflections of France
-
In paradisum
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
Lamentations
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
Night Prayer
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
O nata lux - Arr. for Saxophone and Vocal Ensemble by Christian Forshaw
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
O vos imitatores - Arr. for Soprano, Saxophone and Vocal Ensemble by Nigel Short
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
Psalm 121 - Arr. for Saxophone and Vocal Ensemble by Christian Forshaw
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
Renouncement
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
Reproaches
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
Sancte Deus
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone
-
Scaramouche, Suite pour Saxophone et Piano: III. Brazileira
Reflections of France
-
Te lucis ante terminum - Arr. for Saxophone and Vocal Ensemble by Christian Forshaw
When Sleep Comes: Evening Meditations for Voices & Saxophone