Brandnew Boogie Dance

de Christian Bleiming

Hupaswi kukaa kinyonge ukiwa na mi
Jiachie, jihisi upo peponi
Ita rafiki zako, kina nani
Waambie, mbuzi iko jikoni
Ng'ang'Ana na mimi nyota usafirie
Kaa karibu na waridi unukie

Jiamini
Tena uringe ukiwa na mimi
Sema unataka nini?
Gari, pesa, manyumba madini

Aah, napenda unavyonipaga
Mapocho pocho (pocho pocho)
Ndio maana nakuhongaga
Maposho posho (posho posho)
Kashepu kako ka kumwaga
Mbwete mbwete (mbwete mbwete)
Ndio maana ukikata kidogo ni tepe tepe (tepe tepe)

Kwenye party leo
Sema champaigne wanataka wapi?
Gucci, unataka LV
Ama unataka kuvaa D&G
Utatoka na Ferrari
Ama unataka Lamboghini
Make up nzuri kwa natali
Chombo monii

Wanasema boss, boss boss
Boss, me ndio boss
Wanasema Boss, boss boss
Boss, me ndio boss

Ah, am a billionare
Unachotaka utapata kwangu
Am a billionare
Wavimbe wapasuke mimi sijali

Mtoto alivyo umbika
Haja ni talentika
Amenikamata sina ujanja mie
Niache niringe mie
Niache nideke mie
Anavyonipenda mi nampenda mie

Nikiwa na wewe najiamini
Sitaki vijana wa mjini
Nyumba gari na madini, nipe baby
Nikaishi na wewe milele
Daima nitakuweka mbele
Maisha yangu umebadili wewe baby

Baby wangu wewe, hii level si local local (local local)
Ndio maana vyako vitendo si local local (local local)
Moyo wangu umeshalowa nyege nyege (nyege nyege)
We fuko la pesa sipigi teke teke (teke teke)

Cherie na kayo mingi eeh
Ozali mobali yali nanga
Ato malise pamba eeeh
Ngana kolinga kakayo
Je t'aime, je t'aime
Kurvi motema na ngai (cherie eeh)

Napenda unavyonipaga
Mapocho pocho (pocho pocho)
Ndio maana nakuhongaga
Maposho posho (posho posho)
Kashepu kako ka kumwaga
Mbwete mbwete (mbwete mbwete)
Ndio maana ukikata kidogo ni tepe tepe (tepe tepe)

Wanasema boss, boss boss
Boss, me ndio boss
Wanasema boss, boss boss
Boss, me ndio boss

Más canciones de Christian Bleiming