3 (feat. Darassa)

de Ben Pol

Nazungukua zungukua, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli
Nazungukua zunukua, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli

Nione, nikapenda kila kitu
You're so beautiful, nusu malaika nusu mtu

Unajua sana kuva
System yangu umeiteka aah
Kumbe sikupaswa kujichosa
Kumbe nisinge jihangaisha

Nazungukua zungukua, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli
Nazungukua zunukua, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli

Napatwa kigugumizi
Napandwa na uchizi
Mahaba yamenizidi na, na na
Nakukuacha siwezi
Anha Kukwacha siwezi

Unaipa kile ambacho kwingine sipati
Atanizunguke lazima kwako nitarudi

Kumbe sikupaswa kujichosa
Kumbe nisinge jihangaisha
Nazunguka zunguka, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli

Nazungukua zungukua, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli
Nazungukua zunukua, natembea tembea
Penzi lako ni asali, ntatuliza boli

Más canciones de Ben Pol