She Got One (feat. Platform, Ziddy & Mullah)

de Barnaba

Ooh, ooh, ooh
Yanauma eeh, yeeah

Mapenzi ka kitabu nafungua ukurasa
Nasoma kichwa cha habari
Hali mtima nyogo mapenzi si shwari
Nilitegemea nitazima upepo
Nikamwona bahari
Aliniumiza kwa upinde wa usaliti
Hali si shwari

Yaani ye bahari mie nanga
Nimetia nanga kumbe si shwari
Walahi dunia simama nishuke
Maumivu ya mapenzi mi yamenishinda

Ooh, ooh, ooh, danadana
Semeni ni nini, danadana
Ni nyekundu naona kijani, danadana
Nimlaumu nani?

Mapenzi yamenipeleka sana, danadana
Kama teta danadana
Yamenibeba na kunitupa, danadana
Aah moyo wangu una nini?

Yaani ndo umeamua
Kunichinjia baharini hunitaki tena
Au ndo utamu wa mua
Ukishaisha kinywani maganda hutemwa

Au ulichokaa spinachi ndo maana
Hukujali yaani
Wezangu walikuja kwa kreti kwa nyama
Na biriani aah

Ooh, ooh

Moyo umeukondesha umenipa jeraha
Nafsi inasononeka, usiku kucha balaa mmmh
Masikini roho yangu dekio
Penzi langu pambio
Hakuna malovidavi maumivu tupu
Najuta kupenda
Sagana rhumba na njia ooh
Moyo wangu mie

Ooh, ooh, ooh, danadana
Moyo danadana, danadana
Nashindwa hata kulala, danadana
Chakula mwenzako sili

Moyo wangu ni danadana
Yamenipeleka sana hey, danadana
Danadana, moyo wangu ni
Danadana ah, danadana ah

Danadana ah, moyo wangu ni
Danadana ah, danadana ah
Danadana ah, moyo wangu ni

Más canciones de Barnaba