Farewell To Old Friends

de Barbara Dennerlein

Zawadi eh usiliye liye
Sa ineneya mtoto wangu lala
Eeeh!
Mi nakupenda mama anaimba
Baba eko wapa naua yangu eh lala
Ooh, lala lala lala lala

Kuzala nayo ni baraka
Kuzala nayo ni furaha
Kuzala nayo ni baraka
Ni baraka!

Kuzala nayo ni furaha
Kuzala nayo ni baraka
Kuzala nayo ni furaha
Ni furaha!

Mama ni mupenzi
Baba eko karibu
Usiliye tena mi nakupenda lala, ah!
Ooh lala eh, eh, lala lala lala
Lala

Mapendo mi nakupa, cloclo alinipa
Joseph alinipa mapendo juu ya kweli eh
Mapendo ya mama
Baraka yangu nikoona unakomeya
Nikoona unafuraha kwani nehemaya bwana
Oh eee bwana, malaika wangu eeeh lala!

Kuzala nayo ni baraka
Kuzala nayo ni furaha
Kuzala nayo ni baraka
Ni baraka!

Kuzala nayo ni furaha
Kuzala nayo ni baraka
Kuzala nayo ni furaha
Ni furaha!

Más canciones de Barbara Dennerlein